Saturday 12th, October 2024
@Same
Wilaya ya Same inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 20 Juni 2023.Mwenge huo utapokelewa kutoka Mkoa wa Tanga.
Wananchi wote mnakaribishwa katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru pamoja na kushiriki kukimbiza Mwenge katika Wilaya ya Same.
Kauli mbiu ya mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 inasema “Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai na Uchumi wa Taifa”,
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.