Tuesday 20th, May 2025
@NJORO &HEDARU
Mwenge wa Uhuru utapokelewa kwenye Shule ya Msingi Njoro ukitokea Wilaya ya Mwanga.
Ukiwa Wilayani Same Mwenge utatembelea,kukagua na kuweka mawe ya Msingi kwenye Miradi mitano yenye thamani ya Tsh.2,405,198,166.
Mwenge utakesha Hedaru na April 9,2024 utakabidhiwa Mkoa wa Tanga.
"Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu"
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.