Friday 9th, May 2025
@Same Stendi
Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yatafanyika Viwanja vya Stendi kuu ya mabasi Same.
Kutakuwa na:
Hotuba za kupinga ukatili wa kijinsia.
Maonyesho ya bidhaa za wanawake wajasiriamali.
Usiku wa Familia (Mkomazi Stop Over)
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.