Wednesday 11th, June 2025
@SAME
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa Wilayani Same Juni 30, 2025
Eneo la Mapokezi: Uwanja wa Shule ya Msingi Njoro
Eneo la Mkesha: Uwanja wa Polisi Kata ya Maore
Eneo la kuukabidhi:Uwanja wa Mgagao
Thamani ya Miradi : Shilingi Bilioni 2.2
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.