Halmashauri ya Wilaya ya Same imepokea Shilingi Bil.4 kwa kipindi cha Julai-Oktoba,2023 kwaajili ya Utekelezaji wa Miradi ya Elimu,Afya na Mazingira.