Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Same Mashariki na Magharibi, anatangaza RATIBA ya Kuchukua FOMU za UTEUZI kwa mujibu wa RATIBA iliyotolewa na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
****FOMU HIZO ZIWASILISHWE SI ZAIDI YA SAA KUMI KAMILI (10:00) JIONI SIKU YA UTEUZI TAREHE 25 AGOSTI, 2020***
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.