Darasa likiwa hatua ya jamvi
Darasa likiwa hatua ya kupauliwa tarehe 28/11/2021
Hapa darasa likiwa hatua ya kuezekwa bati tarehe 30/11/2021
Hapa darasa likiwa hatua ya skimming bado kuwekwa tiles na kupakwa rangi tarehe 14/12/2021
Hapa darasa limekamilika tarehe 15/12/2021