Hapa darasa likiwa hatua ya kuezekwa bati tarehe 30/11/2021
Hapa darasa likiwa hatua ya skiming tarehe 2/12/2021
Hapa darasa likiwa limekamilika bado kuwekwa meza tarehe 14/12/2021
Hapa darasa likiwa limekamilika tarehe 14/12/2021