• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

"ZINGATIA USAWA,TOKOMEZA UKIMWI,TOKOMEZA MAGONJWA YA MLIPUKO."

Posted on: December 1st, 2021

Wananchi, Halmashauri ya Same wameungana na watu wote duniani, kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani,Wakizungumza  wakati wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Sokoni kata ya Hedaru halmashauri ya Same, wanaSame na vikundi mbalimbali vya kijamii wameweka wazi kuwa, kutokana na uwezeshaji kupitia mafunzo mbalimbali ya kiafya, kijamii na kiuchumi, wanayoyapata kupitia wataaalamu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii, wamepata motisha na kuwafanya watu wanaoishi na VVU, kujikubali na kujiamini kwa kuacha kujinyanyapaa wenyewe, kuimarika kiafya kwa kutumia ARV kwa ufasaha, kujiinua kiuchumi kupitia shughuli za ujasiriamali zinazofanywa kupitia vikundi.

Naye Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo,  Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Edward Mpogolo, amewapongeza wananchi wa Same na vikundi mbalimbali vya kijamii na kuwatia moyo kuendelea kuishi kwa matumaini, huku wakijiamini mbele ya jamii na kufanya kazi zao za uzalishaji mali kwa bidii, kazi ambazo licha ya kuingiza kipato cha familia lakini pia ni msingi wa maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla.

"Nimevutiwa sana na maonesho ya shughuli mbalimbalai za kupambana na UKIMWI kiseta, nendelee kuwatia moyo ndugu zangu, serikali yenu makini iko pamoja na ninyi, kwa kuwa mnazidi kuuthibitishia Umma, kwamba UKIMWI ni ugonjwa kama magonjwa mengine, ugonjwa ambao  ukijikubali na  ukizingatia masharti yanayolelekezwa na wahudumu wa afya, na ukatumia dawa kwa usahihi, unaweza kuishi maisha marefu na kutimiza ndoto zako, tofauti na dhana iliyojengeka hapo awali, kwamba ukipata maambukizi ya VVU wewe ni wa kufa tuu" amesisitiza Mhe.Mpogolo.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Same Bi.Anastazia Tutuba amesema halmashauri itaendela kushirikiana na ASAS za kiraia, kuviimarisha na kuvijengea uwezo vikundi hivyo vya kijamii, pamoja na kuhamasisha jamii, kupambana na maambukizi mapya ya VVU mpaka kufikia asilimia 95 ifikapo 2030, kuondoa unyanyapaa ndani ya jamii, pamoja na kuhakikisha watu wenye maambukizi wanapata dawa za kufubaza makali ya VVU kwa wakati na kwa usahihi, kupitia vituo vyote vya kutolea huduma za afya.


Naye Afisa Maendeleo ya Jamii halmashauri ya Same Benedict Missani amesema Lengo la maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, ni kitoa fursa ya kutathmini hali na kuhusu uthibiti UKIMWI ambayo husaidi katika kubaini changamoto, mafanikio na kuwa na mkakati katika kupambana na maambukizi ya VVU pamoja na UKIMWI katika jamii zetu. 

"Maadhimisho haya yanafanyika ili kuikumbusha jamiii kuendelea kujikinga dhidi ya maambukizi ya mapya ya VVU na kuwakumbusha watu wenye maambukizi kutumia dawa za kufubaza makali ya VVU kwa ufasaha bili kuacha, kubwa zaidi, jamii kuacha unyanyapaa kwa watu wenye amambukizi na kuwapa huduma stahiki kwa upendo."Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani  halmashauri ya Same 2021,  yamefanyika kwa ushirikiano wa halmashauri hiyo na Vikundi mbalimbali huku kauli mbiu ikisisistiza 'Zingatia Usawa, Tokomeza UKIMWI, Tokomeza magonjwa ya Mlipuko'.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • DC KASILDA ATAKA WANANCHU KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI WAKATI WA ZIARA YA MWENGE WA UHURU

    June 10, 2025
  • WASHIRIKI UMISSETA WATAKIWA KUWAKILISHA VEMA WILAYA YA SAME

    June 09, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.