Katika miaka kumi na saba(17) waliyofanya kazi wilayani Same shirika la world vision limeweza kushirikiana na wilaya kukamilisha madarasa 54,vyoo 104,kompyuta 55,zahanati 7,nyumba za walimu/waganga 7,mifereji ya maji km.7,ndiva 10,vyeti vya kuzaliwa 4114,vikundi 83 vya kuweka na kukopa vyenye jumla ya 4.5B kwa kutaja machache.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.