• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WFP KUFADHILI KIJIJI CHA SAWENI-SAME

Posted on: February 10th, 2024



Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linatarajia kuendesha Mradi shirikishi kwa wananchi wa Kijiji cha Saweni Wilayani Same ili kuwezesha wananchi hao  kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

Wawakilishi kutoka Wizara mbalimbali  na mafisa kutokaShirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)walifika kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Saweni ili kufahamu mahitaji yao ambayo yatawezesha utekelezaji wa Mradi huo ambao unatarajiwa kutekelezwa kwa miaka mitano katika Kijiji hicho.

Akizungumza katika kikao hicho Mkazi wa Saweni Bw. Elikunda Mseli aliomba WFP kufanya utafiti wa mbegu zinazohimili ukame ili waweze kuwagaia.

“Tunaomba tafiti zifanyike ili kujua mazao yanastahamili ukame ili tuweze kugaiwa lakini pia tujengewe maghala ya kuhifadhi chakula” Alisema Mseli

Nae Bi Aziza Ally ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Saweni aliomba WFP kuwajengea mabwawa ya maji kwaajili ya umwagiliaji.

“Kila mwaka tunalima lakini hatuvuni maana tunategemea maji ya mvua na yakija yanapita tu,hivyo tunaomba tujengewe mabwawa ya kuvuna maji ya mvua” alisema Bi. Aziza.

Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Saweni Mratibu wa Miradi wa WFP nchini Tanzania Bw.Elisha Moyo alisema wamefika kijijini hapo kama hatua ya mwanzo ya kusikiliza mahitaji ya wananchi ili kuyachambua na kuanzagalia viapaumbele vya kuanzia.

Alisema Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)limeanza  kufanya upembuzi yakinifu kwenye Kijiji cha hicho kwa lengo la kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kwenye upatikanaji wa chakula.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same,Bi Anastazia Tutuba alilishukuru shirika  la WFP kukichagua Kijiji cha Saweni katika kutekeleza Mradi huo na ameahidi kutoa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa malengo yanatimia. .

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.