• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WAZIRI KAIRUKI AKUMBUKA NYUMBANI

Posted on: July 17th, 2018

Waziri wa madini Mhe.Angela Kairuki  amepeleka neema ya  misaada  ya kibinadamu kwa waathirika  7,000 wa maafuriko pangani na bwawa la nyumba ya Mungu katika wilaya ya Same  ambao wanaishi katika kambi za muda za Rolesho, Marwa  na Bagamoyo. 

  Kairuki alikwenda jana katika kambi hizo zenye kaya  980 kwa ajili ya kukabidhi misaada yenye thamani ya Tsh. Milioni 12 akiwa ameongozana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe.Jaseen Al-Najem.

Mafurikio hayo yalitokea mwezi mei mwaka huu, baad aya sehemu ya kupumulia ya Bwawa la Nyumba ya Mungu kujaa maji kupita kiwango chake na kusabababisha hayo kujaa kiwango cha juu ya wastani na kisha kumwagika mitaani kupitia mto Pangani.

"Mimi ni mzaliwa wa Same nakuja kwetu hapa na Mheshimiwa Balozi wa Kuwait ni kwasababu tumeguswa sana na hali mliyo nayo kwasasa na tukaona tuje tuwafariji baada ya kutokea mafuriko ambayo yaliharibu kabisa makazi yenu, mali na mazao ya chakula na biashara" alisema Mhe. Kairuki.

"Baada ya kuguswa na jambo hili, nikaona ni vizuri kama mzawa nije kuungana nanyi kwa kuwapa misaada mbalimbali ambayo itawafariji katika hiki kigumu, nimewaletea mablangeti 350 na maturubai ya kuzungushia nyumba yapatayo mia mbili (200), " alisema Mhe.Kairuki.

Waziri Kairuki alisema Balozi Al-Najem amemuunga mkono katika kuwafariji waathirika hao baada ya kusoma taarifa za mahitaji ya binadamu yanayohitajika katika kambi hizo pamoja na hali waliyo nayo kwa sasa.

Vijiji vilvyoathiriwa na mafuriko hayo yaliyotokea mwezi Mei mwaka huu ni Marwa, Jitengeni, Kombo na Ruvu ambavyo vipo ukanda wa chini karibu na mto Pangani. Kwa upande  wake Balozi Al-Najem alisema kwa kuwa Tanzania na Kuwait ni ndugu katika maswala ya kidiplomasia wana wajibu wa kusaidiana katika shida na raha,.

Kuwait imetoa tani saba za vyakula mbalimbali ikiwemo mchele, sukari unga na maharage kwaajili kuzisaidia familia za waathirika wa mafuriko hayo.

"Nimesikia bado waathirika hawa wanahitaji msaada, naahidi kwamba Kuwait itaendelea kutoa misaada mbalimbali kulingana na matakwa ya shirika la Msalaba mwekundu la Kuwait ambalo nitaelekeza lilete misaada mbalimbali kama chakula, mahema na dawa," alisema Balozi Al-Najem.

Baada ya makabidhiano hayo mkuu wa wilaya ya Same Mhe.Rosemary Staki alisema tayari serikali imetenga eneo jipya la makazi ya kudumu kwa ajili ya kuwahamisha wahanga waliohifadhiwa katika kambi za muda.





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.