• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WAZIRI KAIRUKI AAHIDI KUCHIMBA KISIMA KIBACHA SEKONDARI

Posted on: October 6th, 2023

Waziri wa Maliasili na Utaliii Mhe. Angellah Kairuki ameahidi kuchimba kisima cha maji katika shule ya Sekondari Kibacha iliyopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika shule hiyo.

Ahadi hiyo ya Mheshimiwa Kairuki aliitoa katika mahafali ya 17 ya kidato cha nne shuleni hapo kufuatia ombi la Wanafunzi wa shule hiyo wakati wakifanya igizo ambapo walieleza kukabiliana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji.

Mheshimiwa Kairuki ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika mahafali hayo alisema kisima cha maji  atakachochimba pia itakua fursa ya kilimo cha mbogamboga ili kuimarisha lishe kwa wanafunzi shuleni hapo.

Mheshimiwa Kairuki alisema Serikali imefanya kazi nyingi katika uboreshaji wa elimu ikiwemo utekelezaji wa Miradi lipa kulingana na matokeo (EP4R) ambao kwa mwaka wa fedha 2022/23 umetoa Bil.7.5 kwaajili ya maendeleo ya shule mbalimbali za sekondari hapa nchini.

"Serikali yetu kupitia mradi wa EP4R umetoa fedha zaidi ya Bil.7.5 kwaajili ya ujenzi wa mabweni, matundu ya vyoo,vyumba vya madarasa katika shule mbalimbali za kidato cha tano na sita na same pia imeweza kunufaika" amesema Mhe.Kairuki.

Huku Mradi wa SEQUIP umetoa shilingi billioni 48 kwaajili ya kujenga shule za wasichana za bweni ambapo wilayani Same ni miongoni mwa wilaya zilizo nufaika na mradi huo.

"Nipende kuwapongeza sana Halmashauri ya Wilaya ya Same kwa usimamizi mzuri wa Miradi,nimeona katika Shule Mpya ya Msingi Kisima ni shule nzuri imejengwa vizuri sana na Shule ya Chekechea ya mfano liyopo pale pia imejengwa vizuri,natamani Wilaya nyingine waje wajifunze hapa kwenu "alisema Kairuki.

Pia aliwaasa wahitimu hao wapatao 165 kutumia muda wao vizuri kwa kusoma kwa bidii kuongeza utiifu na nidhamu kuelekea mitihani ya Taifa.

Nae mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni ameishukuru serikali kwa kuikumbuka Wilaya ya Same na kutoa fedha za miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa  barabara pamoja na mradi wa maji wa Mwanga- Same- Korogwe ambao Mhe. Kasilda Mgeni amesema kufikia Juni 2024 mradi huo utakua umekamilika na kuwatua ndoo kichwani wakazi wa Same

Nae Mkurugenzi wa Wilaya ya Same Bi. Anastazia Tutuba alitoa salamu za shukrani kwa mhe.Angellah Kairuki kwa kusaidia fedha kwaajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo wakati alipokuwa Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI.

"Tunakushukuru sana Mheshimiwa Waziri maana kipindi ukiwa Waziri wa TAMISEMI Wilaya yetu kwa mwaka jana iliweza kupokea Bil.15 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa hospitali mpya ya Wilaya"alisema Tutuba.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • DC KASILDA ATAKA WANANCHU KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI WAKATI WA ZIARA YA MWENGE WA UHURU

    June 10, 2025
  • WASHIRIKI UMISSETA WATAKIWA KUWAKILISHA VEMA WILAYA YA SAME

    June 09, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.