• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMA UKIMWI

Posted on: December 1st, 2024

Wananchi wa Wilaya ya Same wametakiwa kujitokeza kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya na ushauri nasaha kwaajili ya kupima afya zao na kupata ushauri juu ya kujiepusha na ugonjwa hatari wa UKIMWI.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni wakati akizungumza na wananchi wa Same kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo hufanyika Desemba Mosi ya kila mwaka.

Lengo la maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ni kuwakumbuka watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa UKIMWI lakini kukumbushana njia sahihi za kuzingatia ili kuepuka maambukizi mapya ya ugonjwa huo.

Shughuli za maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani pia huenda sambamba na kukumbushana umuhimu wa kutumia dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI (ARV’s) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.

Akizungumza na Wananchi kwenye uwanja wa kwasakwasa mjini Same Mkuu wa Wilaya aliwahimiza wananchi kwenda kupima afya zao ili kujua hali zao na waweze kuchukua hatua stahili kulingana na majibu watakayoyapata.

“Napenda kuwahakikishia kuwa Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha huduma za afya ikiwemo kuhakikisha upatikanaji wa dawa za ARV’s kwa watu wote wanaoishi na virusi vya UKIMWI.

Katika Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Mkuu wa Wilaya ya Same pia alizindua Kampeni ya Mwezi wa Afya na Lishe kwa roundi ya Desemba itakayofanyika kuanzia tarehe 1-30 Desemba katika vituo vyote vya huduma za Afya Wilayani Same.

 

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani  yalikwenda sambamba na shughuli mbali mbali za lishe ikiwemo upimaji wa hali ya Lishe(Uzito, Urefu (BMI), MUAC kwa watoto chini ya miaka mitano, utoaji wa matone ya Vitamin A na dawa za minyoo kwa watoto wa chini ya miaka mitano.

 

Shunguli nyingine zilizofanyika ni maonyesho ya mapishi bora na utengenezajji wa juice na mapishi ya mbogamboga  na matumizi ya viungo va vikolezo(Herbs and spices) ambavyo ni muhimu kiafya.

 

Siku ya UKIMWI Duniani kwa mwaka huu imebebwa na kaulimbiu isemayo Chagua njia sahihi,Tokomeza UKIMWI

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.