• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI JANUARI-JUNI 2021

Posted on: June 30th, 2021

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Same Mhe.Isaya Mngulu ameongoza kikao cha uwasilishaji wa  taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2021,ambapo kikao hicho kilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Jonas Mpogolo,viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya na wajumbe wa chama kutoka kata 34 za wilaya ya Same.

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri,hali kadhalika idara za Serikali ambazo ni TANESCO,TARURA,RUWASA,TANAPA,NIDA,RITA ambao ndio watekelezaji na watendaji wa Ilani ya Uchaguzi.Vile vile watu wa benki za CRDB na NMB walihudhuria kikao hicho.

Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi uliwasilishwa ambapo watumishi wamepandishwa vyeo na kubadilishwa miundo ya watumishi,malimbikizo ya mishahara yamelipwa,ajira mpya za walimu na afya,sayansi,taknolojia na ubunifu kwa maana ya mifumo ya TEHAMA inatumika kutoa huduma kwa wananchi.

Utekelezaji mwingine uliofanyika ni kutenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji,kuwekwa kwa umeme wa REA katika kata mbalimbali,kutolewa kwa mikopo isiyo na Riba kwa wanawake,vijana na walemavu,kusajiliwa kwa wakulima 25,000 katika mfumo wa MOBILE KILIMO kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa zao,kujengwa kwa miundombinu ya barabara,vyeti vya kuzaliwa na vifo kutolewa,wananchi kupata vitambulisho vya Taifa(NIDA) pamoja na wananchi kupata mafunzo na mbinu za kujikinga na wanyamapori hatari Tembo.

Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi waliridhia na kuipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.

"Kwa Kishindo Tunatekeleza"

CCM Hoyeeeeeee!!

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.