Wanawake wajane na wanaume wagane wakijifunza kwa vitendo ujasiriamali kwa kutengeneza sabuni ya magadi leo tarehe 22/11/2021 katika kanisa la SDA conference centre.
Wajane hao na wagane wamejifunza vitu vingi ikiwamo utengenezaji wa sabuni za maji inayotumika kusugulia masinki ya vyoo,glass cleaner.
Shughuli hizi zinafanyika ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika na miaka 59 ya Jamuhuri.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.