• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

"TUMIENI MATOKEO YA SENSA KUWEKA MIPANGO YA HALMASHAURI VIZURI"-RC BABU

Posted on: March 13th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mheshimiwa Nurdin Babu amewataka watumishi wa Serikali na Wadau mbalimbali wa Maendeleo Mkoani Kilimanjaro kuyatumia vema matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika kuleta Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo Machi 11 mwaka Huu wakati akifungua Semina ya siku moja ya Usambazaji na uhamasishaji wa matumizi ya matokeo ya Sensa ya mwaka 2022 katika Mipango mbalimbali ya maendeleo.

Mheshimiwa Nurdin Babu alisema atahakikisha kuwa matokeo hayo ya Sensa yatatumika vema ili kuharakisha Maendeleo ya Mkoa wa Kilimanjaro katika nyanja mbalimbali.

"Matokeo haya yatumike kuweka Mipango Yote Sawa ikiwa ni pamoja na kuhuisha sera ili ziweze kutatua changamoto zilizoainishwa kwenye sensa ya 2022"alisema Mkuu wa mkoa

Alisema Kwa mujibu wa matokeo ya Sensa 2022 idadi ya watu kwenye Mkoa wa Kilimanjaro imeongezeka kutoka watu 1,640,087 mwaka 2012 na kufikia watu 1,861,934 mwaka 2022.

Akizungumza katika Semina hiyo Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw.Tixon Nzunda alisema Semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika la Takwimu la Taifa (NBS) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro imejumuisha washiriki zaidi ya 500 kutoka Wilaya za Same na Mwanga.

Alisema washiriki hao ni  Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Wilaya,Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ,Madiwani,Watendaji Kata na Vijiji,Wenyeviti wa Vijiji,Viongozi wa Dini na Viongozi wa Vyama vya Siasa.

Alisema lengo la kuwakutanisha wadau hao ni kuwajengea uwezo wa kutumia kwa usahihi matokeo ya Sensa katika kuleta Maendeleo.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.