• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu Itumike kwa Usahihi na Uwajibikaji.

Posted on: June 5th, 2021


Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Alhaji Rajabu Kundya ameongoza maelfu ya wananchi wa Same katika zoezi la kupokea Mwenge Maalum wa Uhuru leo  Juni 05 ,2021 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Steven Kagaigai chini ya uangalizi wa kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa LT Josephine Paul Mwambashi.Mapokezi ya Mwenge wa uhuru yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi chekereni vilivyopo ndani ya kata ya Mabilioni.


Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mwenge wa Uhuru 2021 umetembelea jumla ya miradi saba yenye thamani ya Shil.2,466,981,782/=.Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya uliopo kata ya Mabilioni uliogharimu Shil.800,000,000/=, mradi wa ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu kata ya Hedaru uliogharimu Shil.132,803,454/=.,mradi wa upanuzi na ukarabati wa miundombinu ya maji Kasapo kata ya Makanya uliogharimu Shil.636,136,875/=,mradi wa Zahanati ya Kasapo uliopo kata ya Makanya uliogharimu Shil.163,609,067/= , mradi wa ujenzi wa soko la barabarani uliopo kata ya Bangalala uliogharimu Shil.254,931,386/=,mradi wa barabara ya Bomani uliopo kata ya Stesheni uliogharimu Shil.429,501,000/= na mradi wa vijana wajasiriamali uliopo kata ya Same uliogharimu Shil.50,000,000/=


Akizungumza wakati alipotembelea mradi wa kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya  kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa LT Josephine Paul Mwambashi amekiri kuwa mradi huo ni mzuri na kwa kuwa utahudumia waathirika wa madawa ya kulevya katika kata ya Mabilioni na kupunguza idadi kubwa ya waathika wa madawa ya kulevya kwa wakazi wa kata ya Mabilioni.

Sambamba na hayo Mwenge Maalum  wa Uhuru 2021 umetembele mabanda mbalimbali ya takukuru,TRA,Malaria pamoja na UKIMWI ambayo yameelezea shuguli mbalimbali zinazofanywa katika mabanda hayo zikihusisha vifaa na mifumo ya TEHAMA.

Akizungumza wakati wa hotuba yake kiongozi wa mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru 2021 LT Josephine Paul Mwambashi amewaasa wana Same kwamba miradi iliyotembelewa na kuzinduliwa kukamilishwa na kutekeleza maelekezo yaliyotolewa ili kuleta tija katika jamii husika  bila kusahau matumizi sahihi ya TEHAMA ili kuwa na Taifa endelevu.

Mwenge wa Uhuru Hoyeeeeeee!!!!


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.