Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anasikitika kutangaza kifo cha Diwani kata ya Mhezi Mhe.Alan Samwel Mmbaga kilichotokea tarehe 28/02/2021.Bwana ametoa na bwana ametwaa.Jina la bwana libarikiwe.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.