Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawaalika wakandarasi kuomba zabuni ya ujenzi wa jengo la dharura la Hospitali ya Wilaya ya Same na jengo la watumishi katika Hospitali ya wilaya kwenye mfumo wa manunuzi wa TANEPS.
Mwisho wa maombi ni tarehe 06/01/2022.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.