Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anawatangazia wananchi na wakazi wote wa Same nafasi ya ajira ya muda ya kukusanya taarifa kwenye zoezi la anwani za makazi katika vitongoji vilivyopo Wilayani Same.
Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 02/03/2022 Saa 8:00 mchana.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.