Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anawakaribisha watumishi na wana Same wote katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yanayofanyika leo tarehe 1/12/2021 kata ya Hedaru viwanja vya soko la kila siku kuanzia saa mbili kamili asubuhi.Kauli mbiu ya maadhimisho kwa mwaka 2021 inasema "Zingatia Usawa,Tokomeza UKIMWI,Tokomeza Magonjwa ya Mlipuko."
Ratiba ya maadhimisho
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.