• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SERIKALI KILIMANJARO YAAHIDI KUWATAFUTIA MASOKO WAJASIRIAMALI

Posted on: March 8th, 2023

Serikali mkoani Kilimanjaro imeahidi kuwatafutia wajasiriamali  masoko ya bidhaa mbalimbali wanazozalisha ili waweze kujikimu kiuchumi.

Ahadi hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe:Kasilda Mgeni ambaye amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa  Kilimanjaro Mhe:Nurdin Babu katika sherehe za kilele cha siku ya wanawake Duniani zilizofanyika kimkoa Wilayani Same.

Mhe:Mgeni alitoa ahadi hiyo baada ya kutembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali wanawake.

"Baada ya kutembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali wamenieleza kuwa changamoto yao kubwa ni masoko ya uhakika hivyo naahidi kuwa Serikali itajitahidi kutafuta masoko ya bidhaa hizi ndani na nje ya nchi"alisema Mhe:Mgeni.

Awali akitembelea banda la mjasiriamali wa viungo mbalimbali vya chakula,Halima Kilusu na mjasiriamali Catherine Wales anayetengeneza batiki wote walilalamikia kukosa masoko ya uhakika.

Wales amemuomba Mkuu wa Mkoa kuwasaidia katika kupata masoko ya uhakika.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Anastazia Tutuba alisema Ofisi yake itaendelea kuwawezesha wanawake wajasiriamali kiuchumi kwa kuwapatia mikopo isiyo na riba.

"Tutaendelea kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia mikopo isiyo na riba ya Halmashauri,wajiunge katika vikundi vya watu wasiopungua watano,wasajili vikundi vyao,waje kuomba mikopo"alisema Tutuba.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.