• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SAME YAWA WILAYA YA KWANZA KUTENGENEZA MPANGO MKAKATI

Posted on: October 18th, 2018

Same imekuwa Wilaya ya kwanza kutengeneza mpango mkakati wa mazingira na utalii 2018-2023 ambapo uzinduzi huo umefanyika katika kilele cha mlima Shengena kwenye hifadhi ya msitu wa Chome umbali wa kilometa 2462 toka usawa wa bahari.Watu 160 wamepewa vyeti vya kufika kileleni.

Fataki zapigwa kama ishara ya uzinduzi

Mpango wa mazingira utaunganisha mbuga ya Mkomazi,msitu wa Chome,kilele cha Shengena na utalii wa asili.Kutengeneza kifurushi(package) cha utalii na kuipa jina maalumu(brand).

Utekelezaji wa mpango kuifanya Same kuwa kivutio cha pekee na kuongeza idadi ya watalii.

Mpango wa mazingira kutumika kuunganisha wadau kuibadilisha Wilaya ya Same.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo akimwakilisha Waziri,pamoja na kupongeza juhudi za Wilaya ya Same,aahidi kushirikiana na Wilaya kutekeleze mipango hiyo kwani kitu wanachofanya ni kati ya vipaumbele vya serikali kwa kuimarisha utalii katika maeneo mengi ili yaweze kujitegemea.

Naye CEO wa TFS Prof.Silayo aeleza adhima ya kuimarisha utalii wa ikolojia ya msitu huo ili uweze kuongeza kipato kwa wananchi kushirikiana na seriikali 

Mkurugenzi wa TANAPA aahidi kushirikiana na TFS kutangaza utalii wa mkomazi na shengena ili kuvutia  zaidi watalii

Makamu mkuu wa chuo cha mipango Dodoma Prof.Israel Katega aahidi kushirikiana na kuhakikisha mpango huo unatekelezwa.

Mwandishi wa UNDP aahidi kusaidia utekelezaji wa mpango

Naye Mwakilishi wa RC Kilimanjaro  Mh.Kippi Warioba asema jambo hili ni la kuigwa na wilaya nyingine. Apongeza aahadi kutangaza utalii ya shengena.

"Shukrani  yetu kwa wliotengeneza mipango hii na mliohudhuria leo ni kuhakikisha mipango hii haikai kabatini,tutaitekeleza na kuhakikisha inachangia maendeleo ya harakati za wilaya ya same. Asanteni mno"  hayo yalisemwa na DC Same Mh Rosemary Senyamule

Shughuli hiyo pia ilihudhuriwa na DC Siha,Mkt CCM W,DAS Hai ,Wiz,TAMISEMI,Mazingira,utalii,NEMIC,wawakilishi wa mkoa,Mkomazi,NGO,Benki wanasame walio nje ya same,na viongozi ngazi zote za wilaya ambao kwa umoja wao waliahidi kutekeleza mpango.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.