• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SAME YAPANDA MITI 500 KUADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO

Posted on: April 28th, 2025

Wilaya ya Same imepanda miti 500 kwenye Shule ya Sekondari Same kama srhemu ya kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Bi. Upendo Wella, amewataka wananchi kuuenzi Muungano kwa kudumisha amani, upendo, mshikamano pamoja na kutunza mazingira.

"Waasiasi wetu wa Muungano Mwl.Julius Nyerere na Abeid Amani Karume walikuwa na Nia njema ya kujenga mshikamano imara na kulinda usalama,hivyo hakuna budi kuendeleza"alisema Bi.Upendo.

Bi. Wella alisema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeweka kipaumbele kikubwa katika masuala ya uhifadhi wa mazingira huku akisisitiza kuwa taasisi za elimu zina jukumu kubwa la kulea kizazi chenye uelewa wa kutosha kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira.

Kwa upande wake, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Kaskazini, Bw. James Samweli, alisema jumla ya miti 500 imepandwa kama sehemu ya maadhimisho hayo.

Alibainisha kuwa TFS itaendelea kutoa miche bure kwa wananchi na taasisi mbalimbali, kwa lengo la kuhakikisha kila mmoja anakuwa balozi wa mazingira.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw. Jimson Mhagama, amesema kuwa Halmashauri na Taasisi zake zitaendelea kusimamia kikamilifu jitihada za upandaji miti, hasa katika msimu huu wa mvua, ili kuimarisha jitihada za kuhifadhi mazingira.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika rasmi tarehe 26 Aprili 1964. Mwaka huu, Watanzania wanaadhimisha miaka 61 ya Muungano huo muhimu, ambao unaendelea kuwa msingi wa mshikamano, amani na maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • DC KASILDA ATAKA WANANCHU KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI WAKATI WA ZIARA YA MWENGE WA UHURU

    June 10, 2025
  • WASHIRIKI UMISSETA WATAKIWA KUWAKILISHA VEMA WILAYA YA SAME

    June 09, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.