• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SAME WAKABIDHIWA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA NA BAISKELI

Posted on: June 17th, 2018

NGO ya EMPOWER TANZANIA imekabidhi jengo la kituo kinachotoa huduma kwa mama na mtoto kilichopo kitongoji cha Nadururu kata ya Maore baada ya kukiendesha kwa miaka 6.Pia wamekabidhi baiskeli 69 kwa watoa huduma ya msingi wilayani.Taasisi hii imekuwa ikifanya kazi wilaya ya Same katika maeneo ya afya,elimu,mazingira na wameahidi kuleta mradi wa maji kijijini hapo.

Vyeti walivyotoa kwa wakunga wa jadi vimekuwa ni kivutio kwa jamii hiyo ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa kupinga ukeketaji na kutoa ushauri kwa wakinamama kujenga tabia ya kupata huduma za hospitali.

Rais wa NGO hiyo Bi.Joddy Morgan toka lowa Marekani ameahidi kuendelea kushirikiana na Wilaya ya Same;ambapo Mkurugenzi wa NGO hiyo Ndg.Elibariki Kisimbo ametoa taarifa ya uanzishaji wa mradi mpya wa elimu ya afya na stadi za maisha mashuleni ili kuunga mkono juhudi za wilaya za kupambana na mimba kwa wanafunzi.Pia walitoa neti 500 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

DC wa Same Mhe.Rosemary Senyamule akiwashukuru alisema"Kazi hii inafanya wilaya kupunguza vifo vya mama na mtoto,naagiza Halmashauri kuhakikisha kituo hiki kinaendelea kutoa huduma".Awashukuru kwa kutaka waendelee kuwa walezi wa kitongoji hicho kama wananchi walivyoomba.Awataka waliopewa baiskeli kuzitunza na kuzitumia kama zilivyokusudiwa.



"Same is not same"

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.