• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SAME WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA KWA KUFANYA USAFI

Posted on: July 25th, 2024

Katibu Tawala Wilaya ya Same Bi.Upendo Wella leo ameongoza watumishi wa Serikali pamoja na wananchi wilayani Same kwenye zoezi la kufanya usafi katika kituo kikuu  cha mabasi  Wilaya ya Same katika kuadhimisha siku ya Mashujaa inayofanyika Julai 25  ya kila mwaka.

Maadhimisho ya siku ya Mashujaa kitaifa  mwaka huu yamefanyika Dodoma katika Makao Makuu ya Taifa ,hivyo Taifa limetenga siku hii rasmi kwaajili ya kuwakumbuka Mashujaa waliopambana kuhakikisha wanakomboa Taifa letu la Tanzania.

Akizungumza na wafanyabiashara pamoja na wananchi  alisema siku ya Mashujaa ni muhimu kwa inatumika kuwakumbuka  Mashujaa ambao walipambania Taifa hivyo ni vyema kufanya shughuli mbalimbali za kijamii .

"Tumekuja kufanya usafi hapa kituo cha mabasi Same kwa ajili ya kuadhimisha siku ya Mashujaa kama tunavyofahamu kwamba siku hii ni siku mahususi kwaajili ya kuwakumbuka Mashujaa wetu ambao walifanya shughuli mbalimbali za kulitetea Taifa letu na kuleta maendeleo” amesema

Katibu Tawala alitumia nafasi hiyo pia kuwakumbusha wananchi pamoja na wafanyabiashara kwamba Jambo la kufanya usafi ni jukumu lao katika kuhakikisha mazingira yanayowazunguka yanakua safi.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama naye pia ameshiriki kwenye zoezi la kufanya usafi ambapo aliwahamasisha wafanyabiashara wote kuhakikisha wanafanya usafi kwenye maoneo yao ya kazi.

"Siku ya leo Julai 25 kwenye nchi yetu tunaadhimisha siku ya Mashujaa, Halmashauri yetu ya Same tumefanya usafi kwahiyo tutaendelea kusimamia suala la usafi ,wafanyabiashara wanapaswa kuhakikisha eneo lao la biashara lipo safi na wasipozingatia hilo tutatumia sheria zetu ndogo kuwapiga faini"amesema Mhagama

 Kaimu Afisa Afya Wilaya Bw.Moses Timotheo amewashukuru wananchi wote pamoja na viongozi  waliojitokeza kwenye zoezi la kufanya usafi kwani kitendo hicho kinajenga tabia za usafi pamoja na kuepusha kutapakaa kwa takataka na hivyo kulinda afya zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.