Ndugu mwananchi wa Same
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Same imeandaa kitabu cha salamu za rambirambi katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Unakaribishwa kutoa salamu za pole.Pia wajulishe na wengine.
PUMZIKA KWA AMANI MPENDWA WETU SHUJAA WA AFRIKA HAYATI DR.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Same tutakukumbuka.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.