Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti na watumishi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Same tunakupongeza Mhe. Philip Isdor Mpango kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge kwa asilimia mia moja.
Mungu akuongoze katika kazi zako.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.