Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anawatakia heri na mafanikio watahiniwa wa kidato cha sita 2021 wafanye vizuri katika mitihani yao inayoanza leo tarehe 03/05/2021 Mungu awaongoze wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.