Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanatoa pongezi kwa wadau wote waliopata hati safi ikiwa Halmashauri ya Same ni miongoni mwa Halmashauri zilizopata hati safi,pongezi sana kwetu sote.
Kazi iendelee na tufanye kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu ili kuepuka hoja zisizo za msingi.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.