Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanatoa pongezi za dhati kwa Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan tunakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya Mwenyezi Mungu akuongoze Inshaallah.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.