• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

MWENGE MAALUM WA UHURU 2021

Posted on: June 3rd, 2021

Ofisi ya Mkuu wa Willaya ya Same kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same wanayo furaha kuwakaribisha katika hafla ya mapokezi ya mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru 2021.

Wilaya ya Same inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 05/06/2021 ukitokea Mkoa wa Tanga.Eneo la mapokezi ni viwanja vya shule  ya Msingi Chekereni iliyopo kata ya Mabilioni umbali kilometa 74 kutoka Same mjini. 

Mwenge Maalum wa Uhuru 2021 utatembelea jumla ya miradi saba(7);

  • Kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya kata ya Mabilioni unagharimu Tshs 800,000,000/=
  • Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu kata ya Hedaru unagharimu Tshs 132,803,454/=
  • Upanuzi na ukarabati wa miundombinu ya maji Kasapo kata ya Makanya unagharimu Tshs 636,q36,875/=
  • Zahanati ya Kasapo kata ya Makanya unagharimu Tshs163,609,067/=
  • Ujenzi wa soko la barabarani kata ya Bangalala unagharimu Tshs 254,931,386/=
  • Barabara ya bomani kata ya Stesheni unagharimu Tshs 429,501,000/=
  • Vijana wajasiriamali kata ya Same unagharimu Tshs 50,000,000/=

Hali ya hewa ya wilaya ya

 Same wakati wa asubuhi na usiku kuna hali ya baridi na upepo kiasi,unashauriwa kuwa na nguo za baridi ambazo si nzito sana.Pia unashauriwa kutumia kinywaji murua cha Tangawizi.Malazi ,chakula na vinywaji tunazo Hoteli zifuatazo;

Nzoroko Hotel World ni hoteli nzuri yenye mazingira ya kuvutia na mazingira yake ni masafi yakipendezeshwa na miti mizuri iliyostawishwa kwa ustadi mkubwa ,ukiwa Nzoroko utapata huduma za chakula,malazi,michezo mbalimbali na free wifi kwa mawasiliano.KM 74 kwenda eneo la mapokezi.0763599390.

Elephant Motel ni hoteli yenye mazingira mazuri na miti ya kupendeza na free wifi zinapatikana ukiwa hapo.Ipo KM 71 kwenda eneo la mapokezi ya Mwenge.Mawasiliano 0784499065

Yassir Hotel inatoa huduma bora na ipo pembezoni mwa barabara kuu jirani na kituo cha Polisi Same na huduma zote zinapatikana.Ipo KM 74 kwenda eneo la mapokezi.Mawasiliano 0719795599

Josonvilla Hotel ni hoteli nzuri yenye mazingira ya kuvutia na huduma zote zinapatikana,utapata wasaa wa kuogelea kwenye swimming pull na pia kuna free wi-fi,abundance of good creation,scenic beauty.Hoteli ipo Same mjini kitongoji cha stelingi.Kutoka hapo kwenda Chekereni ni kilometa 72 kwenda eneo la mapokezi Chekereni.Mawasiliano 0784499065.

Hedaru Palace Hotel ni hoteli nzuri ya kisasa iliyopo Hedaru na huduma nyingi zinapatikana.Umbali kutoka Hedaru kwenda eneo la mapokezi inakadiriwa kufikia KM 14 kwa mawasiliano 0621005425

Mwambashi Hotel ni hoteli nzuri iliyopo Hedaru na huduma zote nzuri zinapatikana.Umbali kutoka Hedaru kwenda eneo la mapokezi inakadiriwa kufikia KM 14.Kwa mawasiliano 0712102000.

Sunset Lodge ni eneo zuri kwa mapumziko na bei yake ni nafuu.Hoteli ipo Hedaru umbali kufikia eneo la mapokezi inakadiriwa kuwa KM14.Mawasiliano 0622677869.

Tunawakaribisha sana.

Same is not the same.

Mwenge wa Uhuru 2021 Oyeeeeeeee!!!!


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.