• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

MKUU WA WILAYA SAME APONGEZA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI

Posted on: July 30th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Kasilda Mgeni ,amewapongeza wadau wa elimu kutoka shule mbalimbali zinazomilikiwa na serikali,watu binafsi na mashirika ya dini zilizofanya kwenye matokeo ya mitihani ya Taifa mwaka jana.

Mhe. Kasilda ameeleza kufurahishwa na uboreshaji wa elimu kwenye shule hizo ambazo zimefanya vizuri, pia amesema serikali itaendelea kutoa ushirikiano ili shule hizo ziendelee kufanya vizuri zaidi.

 “ Serikali tutaendelea kutoa ushirikiano ili muweze kufanya vizuri zaidi kwenye elimu,lakini pamoja na pongezi hizi ninaomba sana zile changamoto ambazo zinasababisha wanafunzi kutofanya vizuri mkazifanyie kazi kwani  lengo kuu la kikao hichi cha elimu ni kuhakikisha ufaulu unaongezeka”alisema

Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Same Mwl.Marclaud Mero alisema wilaya ya Same ina jumla ya shule za Msingi za Serikali 188 na za binafsi 18 hivyo kufanya jumla ya shule za msingi 206, shule za Sekondari zipo 66 kati ya hizo 46 ni za Serikali na 20 ni za sekta binafsi na chuo cha Ualimu kimoja ambacho kipo chini ya dini.

“Kikao hiki cha wadau wa elimu ni cha muhimu katika kutathimini maendeleo ya elimu na kutathimini matokeo ya mitihani iliyopita hivyo mnapaswa kushiriki kikamilifu katika kuandaa mikakati ambayo itasaidia kuinua taaluma na ufaulu katika Halmashauri yetu” alisema Mwl.Mero.

Kwa upande wake Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Wilaya ya  Same Bw. Godfrey Sebulu amesema “kwa mujibu wa kanuni ya 12 ya Utumishi wa walimu ya mwaka 2016 inawatambua wakuu wa shule  ndio wenye mamlaka kamili ya usimamizi wa maadili ngazi ya shule hivyo wanapaswa kuwasimamia kikamilifu walimu walio chini yao”

Mthibiti Ubora wa Elimu Wilaya ya Same Bw.Calist Youze alisema suala la ufaulu wa wanafunzi linahusisha Serikali, walimu ,wanafunzi na wazazi,hivyo kila mmoja anapaswa kusimama kwenye nafasi yake.

Hata hivyo kikao hicho kiliazimia kuwasuala la nidhamu na maadili ya mwanafunzi yaanzie kwa wazazi,kuwe na ushirikiano mzuri katika swala taaluma kati ya walimu na wazazi, walimu watumie mbinu mbalimbali kuwajengea wanafunzi mazoea ya kujisomea, kila siku wanafunzi wapewe maswali ya Hesabu ili kuongeza ufaulu kwenye somo la Hisabati.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.