Mhe.Edward Jonas Mpogolo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Same amezindua zoezi la chanjo ya UVIKO 19 ambapo katiba hotuba yake aliwaasa wana Same kujihadhari na upotoshaji wa mitandao ya kijamii,na kwamba chanjo hiyo imefanyiwa majaribio na madaktari bingwa wa Tanzania.
Mhe.Mpogolo pia amewataka viongozi wa dini kuwaelimisha wananchi kuhusu chanjo ya UVIKO 19.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.