Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Senyamule kufanya mazoezi ya pamoja na vijana kila jumamosi ili kupata tija zaidi kwa mazoezi hayo.
Pia siku hizo zitatumika kufanya majadiliano mbalimbali kwa mada maalum itakayochaguliwa siku hiyo ili kujiongezea uelewa wa mambo yanayoendelea duniani."Nataka nyie mnaofanya mazoezi pia darasani mfanye vizuri kwani mazoezi yanachangamsha akili".Alisema DC huyo.
Vijana hao walionesha kuvutiwa na kipindi cha nusu saa cha majadiliano hayo na kuahidi kuwashawishi wenzao zaidi kuhudhuria.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.