Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anapenda kuwakaribisha watumishi wote wa ajira mpya walioajiriwa na kupangwa Halmashauri ya Wilaya ya Same.
KARIBU SANA
Halmashauri ya Wilaya ya Same ipo wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.Ofisi zinapatikana maeneo ya stendi ya zamani barabara ya kuelekeaa Mkomazi National Park.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.