• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

"MAJI NI HAKI YA KILA MTU TUTUNZE VYANZO VYAKE NA TUKUMBUKE KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA"

Posted on: June 27th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Stacki Senyamule ameongoza maelfu ya wananchi wa Same katika zoezi la kupokea Mwenge wa Uhuru leo  Juni 26 ,2019 kutoka Wilaya ya Mwanga uliokabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Mwanga chini ya uangalizi wa kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ndugu,Mzee Mkongea Ali.

Mapokezi ya Mwenge wa uhuru yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Njoro vilivyopo ndani ya kata ya Njoro.

Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mwenge wa Uhuru 2019 umetembelea jumla ya miradi mitano yenye thamani ya Shil.1,059,125,337/=.Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa uliopo shule ya Makanya sekondari kata ya Makanya uliogharimu Shil.44,200,000/=, mradi wa ujenzi wa barabara ya bomani kata ya Stesheni uliogharimu Shil.429,501,000/=.,mradi wa wodi ya wanaume hospitali ya wilaya uliopo ndani ya kata ya Same uliogharimu Shil.98,304,443/=,mradi wa maji uliopo kata ya Mhezi uliogharimu Shil.388,177,012/= na mradi wavibanda vya biashara stendi uliopo kata ya Same uliogharimu Shil.98,942,882/=

Akizungumza wakati alipotembelea mradi wa maji  kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ndugu Mzee Mkongea Ali amekiri kuwa mradi huo ni mzuri na kwa kuwa utahudumia zaidi ya kaya 200 katika kata ya mhezi na kupunguza kero kubwa ya maji kwa wakazi wa kata ya Mhezi.

Sambamba na hayo Mwenge wa Uhuru umezindua klabu za kupinga rushwa zinazohusu wanafunzi wa chuo cha uuguzi kilichopo hospitali ya wilaya ya Same ndani ya kata ya Same ambapo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ndugu Mzee amezindua club hiyo pamoja na kuwakabidhi vyeti vijana hao.

Vijana hao walienda mbali zaidi wakionyesha kuelewa wanachokizungumza kwa kujibu maswali yote yahusuyo rushwa kutoka kwa ndugu Mzee,huku wakitoa misemo mbalimbali na kuitikia,”Rushwa ni adui wa haki”na “Kataa rushwa, jenga Tanzania”

Mhe. Senyamule ameitaka klabu hiyo kuwa chachu ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii za Same na kuahidi kuwa pamoja nao katika kuhakikisha kilichoanzishwa kinakuwa kwa mafanikio na malengo yaliyokusudiwa yanatimia. Hii ni sambamba na kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano ya Mhe.John Pombe Magufuli inayopinga na kupambana vikali dhidi ya rushwa za aina zote nchini.

Aidha,Baada ya taarifa ya Wilaya na miradi iliyotembelewa,kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi na Mwenge wa Uhuru Mhe.Senyamule amemkabidhi Mwenge huo wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna Elisha Mngwira ili aukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mhe.Mkuu wa mkoa wa Tanga na kuanza mbio za Mwenge 2019 ndani ya mkoa wa Tanga.

Ndugu Mzee kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa akizindua mradi wa barabara bomani kata ya Stesheni

Ndugu Mzee kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa akizindua mradi wa wodi ya wanaume hospitali ya wilaya Same



Ndugu Mzee kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa akizindua mradi wa vibanda vya biashara stendi

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.