• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

KILIMANJARO WAPATIWA MAFUNZO YA UTEKELEZAJI WA MAMA SAMIA LEGAL AID

Posted on: January 28th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Kilimanjaro Bw.Kiseo Nzowa amewataka wasimamizi wasaidizi wa kisheria kutekeleza majukumu yao kwa weledi wakati wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid yenye lengo la kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi.

Ametoa wito huo wakati akifungua mafunzo kwa timu za wasaidizi wa kisheria toka Halmashauri Saba za Mkoa wa Kilimanjaro.

"Lengo la Mama Samia Legal Aid ni kutoa Elimu ya Sheria na Msaada wa kisheria bure kwa wananchi wanaokabiliwa na changamoto mbalimbali za kisheria"alisema.

RAS Nzowa alisema kuna changamoto nyingi za kisheria kwenye maeneo ya Vijiji lakini wananchi hawajui watapata wapi msaada.

Alisema Mama Samia Legal Aid ni msaada mkubwa kwa wananchi wa Vijijini kuweza kuwatatulia changamoto za kisheria.

Nae Msajili wa watoa huduma za msaada wa kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi.Ester Msagazi amesema Mama Samia Legal Aid inatekelezwa Tanzania Bara na Zanzibar.

"Lengo ni kuhakikisha kuwa wananchi wa pembezoni wanapata msaada wa kisheria,na tayari tumeshafikia mikoa 16 na Kilimanjaro ni wa 17" alisema.

Kaulimbiu ya Kampeni hizi inasema "Msaada wa kisheria kwa haki,usawa,Amani na Maendeleo"

Mama Samia Legal Aid inaratibiwa na kusimamia na Wizara ya Katiba na Sheria.





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.