Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Same na Watumishi wote wanawatakia heri na baraka kidato cha nne katika mitihani yao ya mwisho inayoanza leo tarehe 15/11/2021 Mungu awaongoze wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.