Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanawatakia heri na mafanikio watahiniwa wa darasa la saba katika mitihani yao wanayoanza leo tarehe 08 - 09/09/2021 Mungu awasaidie wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.