Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na watumishi wote wanatoa pongezi kwa Mhe.Edward Jonas Mpogolo kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
Karibu sana Wilaya ya Same.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.