• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

"Jua hali yako,Pima, Jitambue,Ishi".

Posted on: December 1st, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Same imeungana na taasisi zingine za serikali na zisizo za serikali katika kuadhimisha siku ya UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) duniani leo tarehe 01 Desemba 2018 ambapo maadhimisho hayo yameadhimishwa kimkoa wilayani Same katika viwanja vya stendi kuu ya mabasi mjini Same.Mkuu wa wilaya ya Same Mhe.Rosemary Senyamule alimwakilisha mgeni rasmi Mhe.Dkt Anna Mghwira ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Akizungumza katika hotuba yake Mhe.Rosemary Senyamule amewataka wananchi kuendelea kujitokeza na kupima afya zao ili kufikia lengo la 90/90/90 ifikapo 2020.

Vilevile kaimu Mkuu wa Mkoa Mhe.Senyamule amewaagiza wakuu wote wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wa mkoa wa Kilimanjaro kuhakikisha dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huu (ARV) zinakuwepo bila kukosa katika vituo vyote vya afya.



Tukio hilo limehudhuriwa na wanafunzi wa chuo cha uuguzi,wataalam mbalimbali,wadau wa masuala ya kupambana na ugonjwa wa UKIMWI na mamia ya wananchi wa kata ya Same.Kauli mbiu ya siku hii kwa mwaka 2018 ni “Jua hali yako,Pima ,Jitambue,Ishi”. UKIMWI husababishwa na  Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Sherehe hizo zimepambwa na shamrashamra nyingi  ikiwemo ushairi,nyimbo na makala. Shamrashamra hizo zimesheheni elimu, jumbe nzito,makatazo na maonyo makali juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ugonjwa hatari wa UKIMWI.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.