Katika kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba Wilayani Same,Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Same amehimiza matumizi mazuri ya mafunzo hayo kwa kujitolea kufanya kazi za jamii,kuishi kwa mfano.Awahakikishia kupewa kipaumbele usaili JKT na ajira wakiwa na sifa.
Awaagiza kukomesha biashara ya mirungi na vibaka Makanya.Jumla ya wahitimu 108 wapata vitambulisho.
Wananchi wapongeza utendaji kazi wa Rais Mhe.Dr John Pombe Magufuli kwani makanya wana mradi wa maji unaendelea,waahidiwa fedha kuanza kidato cha tano.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.