Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Annastazia Tutuba anawatakia watumishi wote na wana Same kwa ujumla heri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2022 washerehekee kwa amani na Upendo huku wakimtanguliza Mwenyezi Mungu katika kila jambo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.