• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

HARAMBEE YALETA 437,133,000/= WILAYANI SAME

Posted on: April 6th, 2018

Mkuu wa Wilaya Mhe. Rosemary Senyamule aliyekuwa mgeni Rasmi kwenye shughuli hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro azinduzia Harambee ya kuchangia ujenzi wa madarasa iliyofanyika Wilayani Same tarehe 05/04/2018.Ahadi za vifaa zatolewa kama saruji tani 25, mabati na mbao.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same atoa ahadi ya tani moja ya mifuko ya saruji,Mbunge wa Same Mashariki Mhe.David Mathayo atoa ahadi ya shilingi milioni kumi(10),Mhe.Anna Kilango atoa ahadi ya shilingi milioni sita(6) na Mhe.Angela Kairuki atoa ahadi ya shilingi milioni tano(5).Wananchi wa Same na mashirika binafsi waongoza kwa uchangiaji.

 Madarasa 50 kujengwa kwa kushirikisha nguvu za wananchi,Kata zitakazoandaa mawe na matofali ndizo zitaanza kupewa.Hamasa yatolewa wengine kuendelea kuchangia kwani upungufu wa madarasa bado ni mkubwa.

 Mkuu wa Wilaya Mhe. Rosemary Senyamule aliyekuwa mgeni Rasmi kwenye shughuli hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro awashukuru na kuwapongeza wote waliofanya kazi hiyo nzuri.Aagiza waliotoa ahadi kumaliza kabla ya tar. 30 Mei, 2018 kwani tar. 01 Juni, 2018 kutakuwa na uzinduzi wa ujenzi huo. Aagiza halmashauri kuandaa mpango mzuri wa matumizi na usimamizi  ili kupunguza tatizo la madarasa." Shukrani nzuri ya kuwapa hawa waliotuchangia leo ni kufanya vizuri kwenye elimu" Alisema Mkuu huyo wa Wilaya. Awataka wanafunzi, wazazi, walimu, kushiriki kuongeza ufaulu ili kuendelea kuwatia moyo wadau kwani bado kuna mahitaji mengi kwenye elimu. Akemea wanasiasa wanaopinga maendeleo, ataka wachukuliwe hatua.Awashukuru wabunge na madiwani  wa CCM kwani ndio walioshiriki. Wafanyabiashara, mashirika SUMATRA, PPF, GEPF, TANAPA,  EWURA, TFS, Taasisi za dini,  Mashirika yasiyo ya kiserikali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.