• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DED SAME AWAZAWADIA WALIOFANYA VIZURI UMITASHUMTA

Posted on: November 16th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same ametoa zawadi na vyeti kwa wanafunzi na Walimu waliowezesha Timu za UMISETA na UMITASHUMTA kufanya vizuri katika mashindano ya michezo kuanzia ngazi ya Wilaya ,Mkoa hadi Taifa.

Akitoa zawadi kwa walimu na wanafunzi hao , Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Same Bi. Anastazia Tutuba alisema zawadi hiyo ni motisha tu kwa walimu na wanafunzi walioiwakilisha vema wilaya ya Same.

"Wakati wanaondoka kwenda kwenye mashindano niliwaambia waende wakang'ae huko na kweli wamefanya hivo napenda kuwapa zawadi hii ya shilingi laki tano ili wakati mwingine wajitahidi zaidi na kupeperusha bendera ya Same vizuri" alisema Bi.Anastazia

Mkurugenzi huyo alisema kwa kuanzia ameamua kutoa kiasi hicho cha fedha lakini wakati mwingine Halmashauri itajipanga ili iweze kuwapongeza kwa kikubwa zaidi.

Akizungumzia mafanikio ya Timu za Wilaya ya Same katika Mashindano hayo, Kaimu Afisa Utamaduni,Sanaa na Michezo wa Wilaya ya Same Bw.Nevlin Nyange alisema kwa ngazi ya Mkoa katika michezo wa  mpira wa miguu kwa wavulana na wasichana  zilishika nafasi ya kwanza, mchezo wa wavu ilishika nafasi ya kwanza kwa wasichana na mchezo wa kikapu nafasi ya pili kwa wavulana.

Amesema mchango wa Wilaya ya Same katika kuunda timu ya Mkoa imetoa wanafunzi 29 na waalimu 2 kwa michezo ya umitashumta na umisenta ambayo ni sawa na asilimia 34.8 katika timu ya Mkoa.

"Mkoa wa Kilimanjaro umeshika nafasi ya nne kwa Tanzania bara na Visiwani na kutoa mwalimu mmoja wa kike kwa mashindano ya Afrika Mashariki yaliyofanyika nchini Rwanda hii ni hatua kubwa kwa Mkoa na Wilaya yetu ya Same" amesema

Mkoa wa Kilimanjaro kwa mashindano ya mwaka uliopita 2022 ulishika nafasi ya 6 kitaifa huku kwa mwaka huu 2023 ukishika nafasi ya 4 kitaifa ambapo Same inajivunia kuwa sehemu ya mafanikio haya ya Mkoa.

Bw.Nevlin alisema kwa sasa Wilaya inaendelea kunoa timu zake  kwaajili ya maandalizi ya mwakani ili kuusaidia Mkoa kuiendea nafasi ya pili kama sio ya kwanza Kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.