Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anna-Claire Shija akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Kisiwani ambapo serikali ya chama cha Mapinduzi ilileta kiasi cha shilingi milioni 400 kwa ajili ya ukarabati wa kituo hicho cha afya.Mradi huo unaendelea vyema na mafundi waahidi kukabidhi kazi tarehe 30 Novemba.Majengo yanayojengwa ni Maabara,chumba cha upasuaji,jengo la kufulia(laundry) na wodi ya kina mama.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.