• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DED MHAGAMA AMSHUKURU RAIS SAMIA KUIPATIA WILAYA HIYO BIL 3.9 MIRADI YA ELIMU SEKONDARI

Posted on: July 10th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.James Mhagama amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri hiyo shilingi bil 3.9 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali kwenye sekta ya Elimu Sekondari kwa mwaka 2023/2024.

Bw.Mhagama alisema kuwa fedha hizo zinatekeleza miradi mbalimbali yenye lengo la kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa shule za Sekondari Wilayani humo ambapo alisema miradi hiyo ni pamoja na umaliziaji wa Mabweni sita kwenye shule za Sekondari Bangalala,Kwizu,Madiveni,Makanya,Kibacha,Bombo Kimala na ujenzi wa mabweni mawili kwenye shule kongwe ya Sekondari Same na shule mpya ya Misufini Goma.

Alisema  Halmashauri pia imepokea fedha kwaajili ya ujenzi wa shule mpya za Sekondari ambazo ni Malindi, Angellah Kairuki, Hedaru,Misufini Goma ambapo shule mbili zimeshapokea wanafunzi na shule mbili zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.

“Tumepokea pia fedha za kujenga nyumba tatu za watumishi ambazo ni 2 in 1 kwenye shule za Sekondari Misufuni Goma,Angellah Kairuki, na Malindi na ujenzi wake upo kwenye hatua za awali” alisema Bw.Mhagama

Alisema fedha hizo pia zitatumika kujenga Madarasa mapya 22 na matundu ya vyoo 72 kwenye shule mbalimbali za Sekondari Wilayani humo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri  Mhe.Yusto Mapande alimshukuru pia Rais Samia kwa fedha hizo ambazo zimepokelewa kwenye Halmashauri na kuahidi kuwa Miradi yote itakamilika kwa wakati na kwa ubora.

“Tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa kutupatia fedha hizi na tunachoweza kumuahidi ni kwamba miradi yote itakuwa na ubora unaotakiwa” alisema Mheshimiwa Mapande.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.