• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DC-SAME AISHUKURU WIZARA YA AFYA KWA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Posted on: April 23rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameishukuru Wizara ya Afya na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kuratibu na kusimamia vema utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV)kwa mabinti ili kuwakinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha kansa hiyo.  

Ametoa shukrani hizo wakati akizundua zoezi la chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi kwenye wilaya ya Same ambapo alisema zoezi hilo limefanikishwa na Wizara ya Afya na TAMISEMI.

“Tunazishukuru sana Wizara hizi maana watumishi wake walio ngazi za wilaya na mikoa ndio wasimamizi na watekelezaji wakuu wa zoezi hili katika maeneo yao  na wamekuwa wakifanya kazi zao kwa weledi mkubwa” alisema Mheshimiwa Kasilda.

Ametoa wito kwa wazazi na walimu kuhakikisha kuwa mabinti wote wenye umri wa miaka 9-14 wanapata chanjo hiyo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwani takwimu zinaonyesha kuwa kila mwaka wanawake Zaidi ya elfu kumi hugundulika kuwa na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi.

Takwimu zinaonyesha kwa mwaka 2023 jumla ya wanawake 10,868 waligundulika kuambukizwa saratani ya mlango wa kizazi.

Mkuu huyo wa Wilaya alisema chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi inawalinda mabinti kutopata saratani hiyo ambayo inasababisha ugumba, upungufu wa damu na hata kupelekea kifo iwapo itampata mtu.

Awali akitoa taarifa fupi ya zoezi hilo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Same Dkt. Alex Alexander  alisema zoezi hilo litafanyika kwa siku tano kuanzi April 22 -26 ambapo Wilaya inatarajia kuchanja mabinti 3,768.

“Tupo katika Maadhimisho ya wiki ya Chanjo Afrika ambayo hufanyika mwezi April kila mwaka na kwa mwaka huu sisis tumeamua kuchanja mabinti zetu ili kuwalinda na ugonjwa huu hatari” alisema Dkt.Alex

Akizungumza katika hafla hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Dkt. Cainan Kiswaga alisema Wilaya imejipanga vema kuhakikisha kuwa mabinti wote wanaopaswa kuchanjwa wanapata chanjo ili kuwalinda na saratani hiyo.

Nae Afisa Afya wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Happinus Pilula amesema saratani ya mlango wa kizazi ndio saratani inayoongoza kwa kuua hapa nchini ambapo alisema kwa mwaka jana jumla ya wanawake 398 waligundulika kuwa na saratani ya mlango wa kizazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.